Monday, April 30, 2012

Na hizi ndiyo ninaanza nazo

5:23:00 PM - By Hisia 0


Eti best, hivi ingekuwa vp km kabla hujaungana urafiki na mtu humu fb tungekuwa tunajaza form ya maombi na muombaji akaipitia kwa kina kabla hajakuadd??? Usishangae, kuna marafiki humu mie siwaelewi kabisa. Unaandika mada ya ukimwi na jinsi ya kujikinga lkn yeye anaingia kwenye mada yako na kuongelea kilimo cha chai Katumba Tukuyu!!! Hii inakaaje????


2. 
Man u is my team n fergie z my coach..so many confidence in ma mind.yan leo man u lazma 2shinde.GGMU...HATERZ mtakufa nacho kijiba

Tags:
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. A die shopuf pogest concludi cum administrasset slushie intus calidum brioche.
Follow me @Bloggertheme9
Subscribe to this Blog via Email :

0 maoni:

Powered by Blogger.
back to top