Wednesday, December 18, 2013

Album Ya Beyonce Yazidi Kufanya Vizuri, Yashika #1 Katika Nchi 104 Tofauti

8:41:00 AM - By Hisia 0

beyonce
Album mpya ya msanii wa miondoko ya R&B Beyonce yazidi kufanya vizuri katika chati mbali mbali duniani, album hiyo ambayo ni ya tano tokea mwana mama huyo aanze kazi ya uwanamuziki  kama solo artist baada ya kuachana na kundi la Destiny Child, album yake hiyo yenye jina lake la Beyonce imefanikiwa kushika namba moja katika nchi 104 tofauti.
Kupitia akaunti ya Sony Music Africa ya mtandao wa kijamii wa twitter, imeripotiwa na kudhibitsha kuwa ni kweli Album hiyo imefanikiwa kuvunja rekodi kwa kushika nafasi ya kwanza katika nchi 104 tofauti… na hii hapa chini ndiyo tweet iliyotoa habari kuhusiana na Album hiyo …
beee

Tags:
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. A die shopuf pogest concludi cum administrasset slushie intus calidum brioche.
Follow me @Bloggertheme9
Subscribe to this Blog via Email :

0 maoni:

Powered by Blogger.
back to top